Caleb Onyo

Mtume Nabii Elisheva Eliyahu Kiongozi wa pekee wa Huduma ya AMIGHTYWIND kwa wakati huu. VIONGOZI WAKUU WA HUDUMA HII NI YAHUVEH, YAHUSHUA, NA RUACH HA KODESH. Mtume Nabii Elisheva Eliyahu amekuwa Mzalishaji na Kiongozi wa Huduma ya AMIGHTYWIND kwa muda wa miaka 25! Mnaweza kuniandikia mkitumia fomu ya mawasiliano. TAREHE APRILI 4 2019 HUDUMA YA AMIGHTYWIND ITAKUWA NA MIAKA 25 …

Unabii 101, MIMI, YAHUVEH, Nasema, “Matendo Yako Yazungumza Zaidi ya Maneno Yako.”

Unabii 101 MIMI, YAHUVEH, Nasema, “Matendo Yako Yazungumza Zaidi ya Maneno Yako.” Imeandikwa/Kuzungumzwa katika upako wa RUACH ha KODESH Kupitia Mtume Elisabeth Elijah (Elisheva Eliyahu) Oktoba 2, 2008 Saa tisa asubuhi Rosh HaShanah Haya yanatoka kwa Unabii 105, YAHUVEH Alisema kuyaweka haya katika Unabii zote kutoka wakati huu: Nilikuonya kitambo Elisabeth [Elisheva], kutoita huduma hii kwa jina la mwanamume au …

Unabii 80, Bibi Arusi wa YAHUSHUA, Ombeni Kuwa MIMI, YAHUVEH, Nitume Maadui Wenu katika Shinikizo Kubwa la Ghadhabu YANGU!

Unabii 80 Bibi Arusi wa YAHUSHUA, Ombeni Kuwa MIMI, YAHUVEH, Nitume Maadui Wenu katika Shinikizo Kubwa la Ghadhabu YANGU! Imeandikwa/Imezungumza katika upako wa RUACH ha KODESH Kupitia Mtume Elisabeth Elijah (Elisheva Eliyahu) Januari 18, 2006 Saa 1:40 Asubuhi Haya yanatoka kwa Unabii 105, YAHUVEH Alisema kuyaweka haya katika Unabii zote kutoka wakati huu: Nilikuonya kitambo Elisabeth [Elisheva], kutoita huduma hii …

Unabii 90, Je, JINA la ROHO MTAKATIFU ni nini? JINA la RUACH HA KODESH ni nini?

Unabii 90 Je, JINA la ROHO MTAKATIFU ni nini? JINA la RUACH HA KODESH ni nini? “MIMI NI MAMA SHKHINYAH, pia huitwa MAMA HEKIMA, na MIMI ni UTUKUFU WA YAHUVEH!” Imeandikwa/Imezungumzwa katika Upako wa MAMA SHKHINYAH Kupitia Mtume na Nabii Elisabeth Elijah (Elisheva Eliyahu) Ilipokewa Februari 27 – Ilitolewa Agosti 27 – 2007 “Shekinah” inatoka kwa neno la Kiebrania HaSh’khinah …

Unabii 20, Jihadharini na Hofu ya Pigo Mpya la Damu Nyeusi Inayochemka Ijayo!

Unabii 20 Jihadharini na Hofu ya Pigo Mpya la Damu Nyeusi Inayochemka Ijayo! Mchungaji Mtume Sherrie Elijah (Elisheva Sherrie Eliyahu) Mei 25, 1998 Haya maneno yanatoka kwenye Unabii wa 105, YAHUVEH Alisema yaongezwe kwenye Unabii zote kutoka sasa: Nilikuonya kitambo Elisabeth [Elisheva], kutoita Huduma hii kwa jina la mwanamume au mwanamke. Hata kabla kuwepo na Huduma, Niliiweka ndani ya roho …

UNABII WA 11, INUKENI, ZUNGUMZENI, AMBIENI SHETANI ANYAMAZE KATIKA JINA LANGU!

UNABII WA 11 INUKENI, ZUNGUMZENI, AMBIENI SHETANI ANYAMAZE KATIKA JINA LANGU! Imepewa kwake Mtume Sherrie Elijah * * * * * * * Haya yanatoka kwenye Unabii 105, YAHUVEH Alisema iwekwe mbele ya Unabii zote kutoka sasa: Nilikuonya kitambo Elisabeth [Elisheva], Kutoita Huduma hii kwa jina la mwanamume au mwanamke. Hata kabla kuwepo na Huduma, niliiweka ndani ya roho yako. …

UNABII 136, UTATU TAKATIFU WANAHITAJI KUFARIJIWA PIA!

UNABII 136 UTATU TAKATIFU WANAHITAJI KUFARIJIWA PIA! Ilizungumzwa katika Upako wa RUACH HA KODESH Kupitia Mtume Elisheva Eliyahu Mei 29, 2017] Bonyeza kinaza sauti hapa juu ili kusikia kilichorekodiwa. Neno hili lilitolewa siku kabla ya Shavu’ot 2017, jina la Kiebrania la Pentekoste. * * * * * * * Chini ni Unabii jinsi ilivyonenwa – na “Ndimi Takatifu” za Nabii …

Prophecy 153, Sikia Ee Israeli Na Ulimwengu MIMI, YAHUVEH EL-SHADDAI, Nasema “Covid-19 Imetengenezwa Maabarani – Imehamisishwa na shetani!

Unabii 153 Sikia Ee Israeli Na Ulimwengu MIMI, YAHUVEH EL-SHADDAI, Nasema “Covid-19 Imetengenezwa Maabarani – Imehamisishwa na shetani! Imezungumzwa katika Upako wa RUACH HA KODESH Kupitia Mtume, Nabii Elisheva Eliyahu, 20 Aprili 2020 Kwa Kiebrania, “MIMI ni MUNGU”ni “ANI ELOHIM” (םיהולא ינא). Sasa haya yana uhusiano gani na Unabii huu 153? Mmoja wa wahudumu wetu aligundua uhusiano huu. Tukirejea kwenye …

Unabii 127, UVUKAJI WA BAHARI YA SHAMU KWA Huduma za Amightywind: Kutoka Kwake Elisheva Eliyahu

Unabii 127 UVUKAJI WA BAHARI YA SHAMU KWA Huduma za Amightywind: Kutoka Kwake Elisheva Eliyahu SEHEMU ZA UNABII HUU ZIMEFUNGWA ZIKINGOJA KUTUBU KWA EREZ (Ezekieli 33:13, 18:30-32) SEHEMU ZILIZO WAZI ZINAMTAJA KALEBU SIO EREZ Ezekieli 33:13 KAMA NIKIMWAMBIA MTU mwenye haki kwamba hakika utaishi, lakini akategemea hiyo haki yake na kutenda uovu, hakuna tendo lo lote la haki alilotenda litakalokumbukwa, …

10 CHUKUENI YOTE AMBAYO SHETANI AMEIBA!

UNABII WA 10 CHUKUENI YOTE AMBAYO SHETANI AMEIBA! Imepewa kwake Mhubiri Elijah (Elisheva Eliyahu) Disemba 4, 1997 * * * * * * * Kutoka Unabii 105, YAHUVEH Alisema ujumbe huu uwekwe katika kila unabiii kutoka sasa: Nilikuonya kitambo Elisheva kutoita huduma hii kwa jina la mwanamume au mwanamke hata kabla kuwepo na huduma. Niliiweka ndani ya roho yako kwa …